Timu ya taifa ya mchezo wa soka ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, imefuzu kwenye fainali ya kombe la dunia, kwa mara ya kwanza, baada ya miaka 52.

Wachezaji wa Leopard ya DRC baada ya kufuzu kombe la dunia.
Wachezaji wa Leopard ya DRC baada ya kufuzu kombe la dunia. REUTERS – Eloisa Sanchez

Matangazo ya kibiashara

DRC iliifunga Jamaica bao 1 kwa sifuri, katika mechi muhimu ya kufuzu iliyochezwa kwenye uwanja wa Guadalajara nchini  Mexico usiku wa kuamkia leo.

Kusambaza :

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *