Takwimu za hivi karibuni zinaonesha kuwa idadi ya watoto wa mitaani imekuwa ikiongezeka kwa kuchangiwa na sababu mbalimbali ikiwemo umasikini na migogoro ya familia.
Mratibu wa Shughuli za Ulinzi wa Watoto Railway Children Africa, Mary Mushi amesema ili kukabiliana na ongezeko hilo, migogoro ya wazazi inapaswa kutowahusisha watoto ili kulinda mustakabali wa maisha yao.
✍Ibrahimu Kilumbo
@goodluckpaul_mc
Mhariri | @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)