Sanaa ya uchoraji licha ya kuwa na matawi mengi lakini kila tawi limeendelea kuwa chanzo cha uwasilishaji wa maarifa kwa namna ya kipekee kwa hadhira.

Mbali ya hivyo pia Sanaa hiyo imefanikiwa kuyabadilisha maisha ya wasanii wengi wa uchoraji na kuyapa thamani kwenye dunia ikiwemo mafaniko ya kifedha na umaarufu.

Ndani ya kipindi cha KAZI NI KAZI tunakukutanisha na vijana ambao wamejiajiri katika sanaa ya uchoraji, na kupitia mahojiano hayo vijana hao wanasema Sanaa hiyo inatumia ubunifu wa akili na kipaji cha uchoraji.

Usikose kufuatilia kipindi cha #KaziNiKazi kinachoruka kila Alhamis saa 1:00 usiku na marudio yake kila Ijumaa saa 5:00 asubuhi kupitia chaneli ya #UTV 108 kwenye kisimbuzi cha #AzamTV.

Kwa muendelezo wa kipindi hiki fuatilia chaneli yetu ya Youtube ya #UTVTZ

Halima Abdallah
@Mkwaji Masatu

Mhariri | @moseskwindi

#AzamTvUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *