Kazi za uandishi wa vitabu ni nyenzo muhimu ya kukuza maarifa na lugha kwa hadhira lakini mwandishi mkongwe wa vitabu, Rachard Mabala anasema “ubunifu na usahihi wa lugha” ndio sababu zinazosababisha ukuaji wa lugha na kuongeza mvuto wa usomaji kwa hadhira.
✍Ibrahimu Kilumbo
@hildaphoya
Mhariri | @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)