#HABARI: Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha Ziwa Nyasa, kufurika na maji kufunika gati la Bandari ya Mbambabay, hatua iliyosababisha meli kushindwa kutia nanga na hivyo safari za meli za ndani na nje ya nchi kusitishwa mwezi mmoja sasa wilayani Nyasa mkoani Ruvuma.

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Bw. Peres Magiri ametoa tahadhari kwa watu wanaofanya shughuli zao Ziwa Nyasa na wanaoogelea na kwamba meli zitaanza safari hali ya maji itakapokaa sawa.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *