Mamlaka ya Udhibiiti wa Usafiri Ardhini (Latra), imeandaa mkutano maalum wa wadau wa usafiri nchini kujadili mchakato wa mapitio ya nauli za umma kwa njia za barabara.

Tarifa ya Latra imesema kuwa mchakato huo unafuatia kupanda kwa bei ya mafuta nchini hali iliyosabishwa na mapigano yanayoendelea nchini Iran.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mkutano huo utafanyika Jumatano Aprili 8, 2026 katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *