“Ndani ya Serikali tuna matumizi makubwa sana ya mafuta, magari ni mengi safari zetu ni nyingi, niwaombe sana tuanze kupunguza matumizi ya mafuta, na mimi naanza na ofisini kwangu, kuanzia sasa ninapokwenda kokote nitawaingiza kwenye kibasi kimoja…”-Rais Samia.

#KIAPOVIONGOZI

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *