Wakazi wa Kata ya Mdimba Mpepele, Halmashauri ya Wilaya ya Newala wamelalamikia uongozi wa halmashauri hiyo kwa madai ya kutelekeza mradi wa zahanati ya Ngalu ulioanza kujengwa kwa nguvu za wananchi tangu mwaka 2023 lakini hadi sasa haujakamilika.
Je, ucheleweshaji wa miradi ya afya vijijini unaathiri vipi maisha ya wananchi? Nini kifanyike? Tuandikie maoni yako na tutayasoma #AdhuhuriLive saa 7:00 #UTV
#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)