Jeshi la Marekani linasema litaanza kuzingira bandari za Iran siku ya Jumatatu, lakini “haitazuia” meli zinazopita kwenye Mlango wa bahari wa Hormuz zinazosafiri kwenda au kutoka nchi nyingine.
#chanzobbcswahili
#StarTvUpdate

(Feed generated with FetchRSS)