Vijana mkoani Rukwa wametakiwa kutumia vyuo vya ufundi stadi vilivyopo mkoani humo kwa kujifunza teknolojia ya kisasa ambayo itawasaidia kukabiliana na soko la ajira linalohitaji ujuzi katika sayansi na teknolojia, ili kujenga uchumi wa jamii.
Wito huo umetolewa na Askofu Mstaafu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga, Damian Kyaruzi, wakati akizungumza na wanachuo wa Chuo cha Mtakatifu Anselimo kilichopo katika kijiji cha Chala wilayani Nkasi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)