Wanahabari wakongwe nchini wameeleza shauku yao ya kusubiri kutolewa kwa ripoti inayohusu matukio yaliyojiri wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka jana.

Salim Kikeke na Maulid Kitenge wamesema ripoti hiyo ni muhimu katika kutoa mwanga juu ya changamoto zilizojitokeza na kwamba wana imani na tume hiyo.

Ripoti hiyo inatarajiwa kuwasilishwa mapema kesho mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan, hatua ambayo inatazamwa kama fursa ya kuleta uwazi na kujenga imani kwa umma.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *