PIN POINT: ‘Mwamba wa Juu’ @leomusikula_tz kuhusu kile alichofanya kocha wa Simba SC, Steve Barker katika safu ya ulinzi kuhakikisha ulinzi unakuwa imara katika kikosi chake kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Muungano uliochezwa jana Aprili 29, 2026 dhidi ya Yanga SC.
Jumapili ni ‘Dabi ya Kariakoo’ Ligi Kuu ya NBC ambapo Simba SC atakuwa mwenyeji wa Yanga SC.
#SimbaSc #YangaSc
(Feed generated with FetchRSS)