Wilaya ya Kigamboni imesema inatarajia kuipandisha hadhi hospitali ya wilaya hiyo na kuifanya kuwa hospitali ya rufaa katika mwaka wa fedha 2026/27 ili kusogeza huduma za kibingwa karibu na wananchi.
Mbali ya hatua hiyo Meya wa Manispaa hiyo, Amir Sambo ameongeza pia kuwa wanatarajia kupima maeneo mapya kwa ajili ya uwekezaji.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)