Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi, imeishauri Serikali kuiongezea mtaji Bohari ya (MSD), ili iweze kujiendeaha na kuokoa Wanzania.

“Serikali itoe mtaji wa Sh300 bilioni kwa Bohari ya Dawa ili kuongeza ufanisi na upatikanaji wa bidhaa za afya, kusaidia uwekezaji kwenye viwanda na kuongeza uwezo wa uhifadhi bidhaa za afya na kujenga maghala ya kutosha.” amesema Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dkt Zeyana Abdallah.

Dkt Zeyana alikuwa akiwasilisha mapendekezo ya kamati yake baada ya Waziri Mohamed Mchengerwa kuwasilisha bungeni Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Afya ya mwaka 2026/207.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *