Mkazi wa jiji la Mwanza Mzavari Faisal Yunus ameuawa akiwa bar baada ya kushindwa kulipa TSh elfu nane ya pombe aliyotumia.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Wilbroad Mutafungwa marehemu aliuwawa kwa kushambuliwa na wahudumu wa bar hiyo pamoja na meneja wao .

Watuhumiwa wa mauaji akiwemo meneja wa bar hiyo wanashikiliwa na polisi mkoani Mwanza kwa Hatua za kisheria huku onyo Kali likitolewa kwa walinzi kuacha kujichukulia Sheria Mkononi.

#StarTvUpdate

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *