Lengo la kuanzishwa kwa bandari kavu ni kuongeza ufanisi wa bandari kuu kupitia maboresho ya miundombinu wezeshi pamoja na uratibu mzuri wa michakato ya utoaji na upokeaji wa mizigo.

Hata hivyo, pamoja na dhamira hiyo, shughuli za bandari kavu zimeendelea kuibua kitendawili cha msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, hususan kutokana na ongezeko la malori yanayosafirisha mizigo katika maeneo mbalimbali ya jiji.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *