Azam Media Limited imetangaza kuwa itaonesha mubashara mechi zote 104 za Kombe la Dunia mwaka huu kupitia chaneli zake za Azam S…Azam Media Limited imetangaza kuwa itaonesha mubashara mechi zote 104 za Kombe la Dunia mwaka huu kupitia chaneli zake za Azam S…

Azam Media Limited imetangaza kuwa itaonesha mubashara mechi zote 104 za Kombe la Dunia mwaka huu kupitia chaneli zake za Azam Sports HD kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza kuanzia Juni 11.

Utambulisho wa matangazo hayo umefanyika leo katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam ambapo wadau wa michezo wameelezwa kuwa kampuni hiyo imejipanga kuhakikisha watazamaji wanapata matangazo bora ya michuano hiyo mikubwa duniani kupitia majukwaa yake mbalimbali ya televisheni.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *