undefinedundefined

Mtaalamu wa Uhandisi na Usafirishaji Kutoka chuokikuu cha Der es salaam (UDSM) Pancras Bujulu , amesema ubora wa barabara hupimwa na aina ya matumizi ya barabara hiyo, ambapo kuna baadhi ya barabara kwa ajili ya mzigo mzito kama kutumiwa na malori ya mizigo.

Bunjulu amesema ni muhimu kuzingatia matumizi ya barabara ili kuepusha kuharibika kwa barabara mara kwa mara.

✍ Halima Abdallah
Mhariri | @claud_jm
@goodluckpaul_mc
@balqis_njuki

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *