#MICHEZO: “…Kufungwa tano ya Yanga itakuwa sio kazi rahisi kwa sababu Yanga sio mara yangu ya kwanza kucheza nao nikiwa Simba kama kocha nishacheza nao nishawafunga kwa hiyo bado nina rekodi ya kuifunga Yanga na wenyewe wananijua, Simba wanaweza kuwa na washambuliaji wazuri kuliko Yanga…”-Julio Kihwelo -Kocha Mashujaa FC.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)