Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameiomba Mahakama ya Rufani kutupilia mbali maombi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ya kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, uliokataa ombi la kuruhusu kuwasilishwa kwa ushahidi wa nyongeza katika kesi ya uhaini inayomkabili.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)