Wakati wananchi Yanga sc wakipanga kuweka kambi masaa matano eneo la Msimbazi ambapo ni makao makuu ya watani wao wa Jadi Simba sc , Simba nao wamejibu kwa kuweka screen kubwa ikionyesha Goli la Clatous Chama alilofunga dhidi ya yanga Linalotajwa kuwa goli bora zaidi.
(Feed generated with FetchRSS)