Mechi ya mkondo wa pili NBC Premier League Play Off unapigwa Jumatano hii

Tanzania Prisons watakuwa dimba la Sokoine wakicheza na Mbeya City

Katika mechi ya mkondo wa kwanza Mbeya City walipata ushindi, je Prisons watapindua meza ama The Purpple Nation kushinda mechi zote mbili na kubakia NBCPL kwa msimu ujao?

Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mubashara kupitia AzamSports1HD.

#NBCPL #SisiNiSoka

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *