Wateja wa kisimbuzi cha Azam TV wameshauriwa kuwa na utamaduni wa kufanya malipo mapema kuepukana na changamoto za kimtandao malipo ya wateja wengi yanapofanyika kwa wakati mmoja.

Meneja mauzo wa visimbuzi kanda ya Pwani, George Kaurananga ameeleza hayo katika matembezi ya matangazo maeneo ya Mbagala, Dar es Salaam na kuwakaribisha wenye changamoto kutembelea ofisi za Azam TV kupewa huduma stahiki.��

Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *