Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza na wananchi wa Kata ya Dunda Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani Julai 22, 2026 ambapo ametoa wito kwa wananchi hasa vijana kuulinda Muungano kwani ndio tunu ya Taifa.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *