#HABARI: Mgombea Urais, kupitia tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU), Ndg. Majalio Kyara, amesema endapo ataingia madarakani atahakikisha kila mvuvi ananunuliwa boti ya kuvulia samaki ili aweze kufanya shughuli za uvuvi kwa usalama katika kupambana na umasikini na kuinua vipato vyao.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *