Kaimu Mkurugenzi Mawasiliano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO), Irene Gowelle amesema shirika hilo limepiga hatua kubwa ya kukamilika kwa miradi mipya mbalimbali ya uwekezaji ya umeme ambayo ni bwawa la Mwalimu Julius Nyerere ambao unatoa megawat 2115, mradi wa Lusumo na kituo cha kupoza umeme Arusha Limuguru.

✍Nifa Omary
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates #UTV108 #MorningTrumpet

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *