Shirika la Posta sasa limeboresha huduma zake za usafiri kuanzia magari, mabasi hadi ndege ili kufikisha mzigo wa mteja kwa wakati ambapo mzigo utamfikia mteja kuanzia siku moja hadi mbili.
Wasikilize Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Shirika la Posta, Ferdinand Kabyemela , Kaimu Meneja wa Huduma kwa Wateja Shirika hilo, Jane Sallu wakielezea hoja hiyo kiundani.
✍Juliana James
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates