Tamko hili la Le Pen sasa limetilia shaka uwezo wa Waziri Mkuu Sebastien Lecornu kusuluhisha mzozo wa kisiasa unaozidi, kwa kuteua baraza jipya la mawaziri.

Na sasa chama cha Le Pen cha National Rally, ambacho ndicho chamakikubwa katika bunge la Ufaransa, kimemtaka Rais Emmanuel Macron kuitisha uchaguzi wa mapema au aachie ngazi.

Rais Macron anakabiliwa na mzozo mbaya zaidi wa kisiasa nchini mwake,huku muda wa mwisho wa kuunda serikali inayofanya kazi ukiwa jioni ya leo.

Umaarufu wa rais huyo wa Ufaransa umepungua pakubwa tangu mwaka 2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *