MAHOJIANO MAALUM
Ugonjwa wa saratani unadaiwa kuongezeka duniani kutokana na mabadiliko ya mitindo ya maisha.
Ili kukabiliana na changamoto hiyo jitihada mbalimbali zinaendelea kufanyika ikiwemo utoaji wa elimu kwa wananchi kuhusu namna bora za kujilinda na kujikinga na saratani.
Katika kuliangalia hilo kwa undani zaidi, Ijumaa hii, Oktoba 10, 2025 kuanzia saa 1:30 asubuhi ndani ya Morning Trumpet Ijumaa hii tutakuwa na Mkurugenzi wa Huduma za Kinga wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dkt. Crispin Kahesa.
Tunakualika kutazama kipindi hiki na kama utakuwa na maswali au maoni tafadhali tuandikie kwenye eneo la comments.
✍Nifa Omary
Mhariri | @moseskwindi
#AzamTVUpdates #UTV108