#HABARI: Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga tarehe Oktoba 15, 2025 kuanza kusikiliza shauri lililofunguliwa Wakili wa Peter Kibatala kwa niaba ya familia la kuiomba Mahakama itoe amri kwa Mamlaka kumfikisha Mh. Polepole Mahakamani au ieleze umma alipo.
Akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari Mahakamani hapo, Wakili Peter Kibatala amesema imeonekana ni busara pande zote mbili, zipate nafasi ya kushiriki vyema katika kesi hiyo, ikiwa ni pamoja na kuwasilisha nyaraka zote muhimu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania