#HABARI: Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Bukoba Mjini, Amir Hamza, amemnadi Mgombea Urais wa CCM Dkt.Samia Suluhu Hassn, huku akisisitiza umuhimu wa wananchi kutumia haki yao ya Kidemokrasia kuwachagua viongozi bora kuanzia ngazi ya Madiwani, Wabunge hadi Rais, ili kuhakikisha taifa linaendelea kupata maendeleo ya kweli kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho na kuwataka Watanzania wote kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 29 Oktoba mwaka huu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.