Mgombea Urais kutoka chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo ameahidi kuufungua Mkoa wa Mbeya hususani kwenye maeneo ya miundombinu ya usafirishaji, kilimo na afya iwapo atafanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu 2025.
Hii hapa taarifa zaidi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi