Mgombea ubunge wa jimbo la Ushetu kwa tiketi ya CCM, Emmanuel Cherehani amemuomba mgombea Urais wa chama hicho ambaye pia ni Rais wa Tanzania aliyepo madarakani kuzisaidia kata 11 na vijiji zaidi ya 50 kupata maji safi na salama kupitia mradi wa kuvuta maji kutoka Ziwa Victoria baada ya jitihada kubwa kufanyika za kupata maji kwa kuchimba kwenye ardhi ya jimbo hilo bila mafanikio.
Msikilize hapa.
Mhariri @moseskwindi