Mwamko wa jamii kuwapa nafasi na kipaumbele watoto wa kike kwenye eneo la elimu na taaluma umeendelea kuongezeka huku baadhi ya wazazi mkoani Kilimanjaro wakijikita katika kuwandaa kitaaluma kwa fani wanazozipenda na kuzimudu.

Likoje hili?

Ungana na Enos Masanja kwa taarifa zaidi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *