#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kishapu, Lucy Mahenga amehimiza upigaji wa kura kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) siku ya 29 Oktoba, amezungumza hayo katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Chama hicho, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Maganzo, wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.
‎
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.