#HABARI: Mgombea ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Bariadi vijijini, Bwana Masanja Kadogosa amewaahidi wakazi wa Kata ya Gambosi kufikisha huduma ya maji katika vitongoji vyote kupitia mradi wa maji wa ziwa victoria unaogharimu sh.bilioni 440 huku akisisitiza yeye atakuwa mbunge anayesikiliza changamoto za wananchi na kuziwasilisha bungeni kwa ajili ya kupata utatuzi .

Mgombea huyo ametoa ahadi hiyo katika kata hiyo alipokuwa akinadi sera zake ili wananchi wampe ridhaa ya kuongoza jimbo hilo katika uchaguzi mkuu unaotaraijiwa kufanyika Oktoba 29,2025.
Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *