Mgombea urais wa chama cha Makini, Coaster Kibonde amesema njia pekee ya kumuenzi Mwalimu Nyerere ni kudumisha amani wakati huu ambapo Taifa linaelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Kibonde ameyasema hayo alipotembelea nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
#AzamTVUpdaters
Mhariri | John Mbalamwezi