Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu ameahidi kukabiliana na changamoto ya ugumu wa maisha na umasikini wa kipato endapo wananchi watampa ridhaa ya kuongoza nchi.
Aidha, ameahidi kuboresha na kuongeza hadhi ya Jiji la Dar es Salaam kuwa jiji la fursa na maendeleo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi