#HABARI: Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa nafasi ya Udiwani Kata ya Goba, Mtaa wa Matosa jijini Dar es Salaam, zimehitimishwa rasmi ambapo mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bwana Lawrence Christopher Mlaki, ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kutumia haki yao ya kikatiba katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu.
Akizungumza wakati wa mkutano wa kufunga kampeni hizo, Bw. Mlaki amesema ni jukumu la kila Mtanzania kushiriki katika zoezi la kupiga kura kwa amani na utulivu ili kuchagua viongozi wanaofaa kuongoza katika ngazi mbalimbali za uongozi wa nchi, zikiwemo za Urais, Ubunge na Udiwani.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.