#HABARI: Viongozi mbalimbali wa dini mkoani Rukwa wametoa wito kwa waumini wao juu kuwapuuza watu wanao shawishi kupitia mitandao ya kijamii ili kufanya vurugu na maandamano wakati wa uchaguzi mkuu na badala yake wajitokeze kutimiza haki yao ya kikatiba kwa kuwachagua viongozi wanao wataka kwa maslahi ya jamii na taifa kwa ujumla.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.