Mgombea ubunge katika jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara, Esther Bulaya amewasihi wananchi wa Tanzania kudumisha amani kuelekea Uchaguzi Mkuu na kutolea mifano ya madhara yaliyotokea katika baadhi ya maeneo ambayo machafuko yaliwahi kutokea na kusema Tanzania haihitaji kuelekea huko.
Bulaya ameyasema hayo katika kampeni zake za mwisho kuelekea siku ya uchaguzi, Oktoba 29.
Augustine Mgendi ana undani zaidi wa taarifa hiyo.
Mhariri @moseskwindi