LEO Mnyama Simba SC atakuwa dimba la Benjamini Mkapa akiwakaribisha Nsingizini kutoka Eswatin mechi ya marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Mnyama anaingia katika mchezo huu akiwa na mtaji wa magoli matatu.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu
#CAFCL #Azamtvsports #SimbaSC