Jukwaa la Mabunge ya Nchi za Maziwa Makuu ambalo ni miongoni mwa taasisi za watazamaji wa Uchaguzi Mkuu nchini limewahimiza wananchi kushiriki kwa wingi kuchagua viongozi ifikapo Jumatano ya Oktoba 29.

Hayo yamesemwa na mkuu wa ujumbe huo ambaye pia ni Rais mstaafu wa Burundi, Domitien Ndayizeye jijini Dar es Salaam katika mkutano na waandishi wa habari.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *