#UchaguziMkuu2025 | Mgombea wa wa urais wa Tanzania kwa tiketi ya Ada Tadea, Georges Busungu mapema leo amepiga kura katika Kijiji cha Ngodama, Wilaya ya Misungwi.

#AzamTVUpdates #UchaguziMkuu2025

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *