Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wamesema wapiganaji wa RSF wametekeleza vitendo vya uhalifu dhidi ya binadamu katika mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yanayoendelea nchini Sudan hasa katika mji wa El-Fasher Magahribi mwa Darfur.
RSF wametekeleza uhalifu dhidi ya binadamu mjini El-Fasher Sudan