Colombia: Wanajeshi 72 wametekwa nyara katika eneo la Cauca linalodhibitiwa na kundi la waasiColombia: Wanajeshi 72 wametekwa nyara katika eneo la Cauca linalodhibitiwa na kundi la waasi

Wanajeshi wasiopunguwa 72 wamechukuliwa mateka siku ya Jumapili, Septemba 7, katika eneo la Cauca. Kulingana na jeshi, eneo hili lililo kusini magharibi mwa Colombia linadhibitiwa na kundi la wapiganaji wanaohusishwa na kundi la waasi la lililojitenga na FARC na ambalo linajihusisha na ulanguzi wa dawa za kulevya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *