#HABARI: ITV na Radio One kwa kushirikiana na Taasisi ya Wanawake Wajenzi Tanzania (TAWAH) leo Desemba 02, 2025 wamekabidhi ukuta baada ya kuendesha kampeni ya ujenzi wa ukuta wa uzio wa shule ya Sekondari ya Kawe Ukwamani.
Akizungumza kwenye makabidhiano hayo yaliyofanyika shuleni hapo, Mkurugenzi Mtendaji wa ITV na Radio One, Joyce Mhaville, amesema kama miongoni mwa wadau waliofanikisha ujenzi wa ukuta huo wanajivunia kukamilisha kwa kiasi kikubwa.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *