Rais wa Marekani, Donald Trump, anakutana leo na Marais wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa lengo la kufanikisha mpango wa amani kuhusu mgogoro unaoendelea Mashariki mwa DRC.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *