8 Septemba 2025

Tizama mwanasiasa kigogo wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu akifikishwa mara ya kwanza katika Mahakama Kuu, huko Dar es Salaam kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili. Duru zinasema kulikuwa na ulinzi mkali wa vyombo vya dola.

https://p.dw.com/p/50Axp

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *