#HABARI: Watu watatu wameuawa kwa kupigwa risasi, na wengine kadhaa wakiwemo Maafisa wa Polisi na wanahabari kujeruhiwa, baada ya wahuni kuvamia kundi la waandishi wa habari waliokuwa wanaangazia maandamano ya wachimba dhahabu huko Kakamega nchini Kenya.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania